airtel

airtel

.

.

Saturday, February 2, 2013

KAMPUNI YA KANYE WEST"CREATIVE CONTENT COMPANY"IMEIACHIA KAVA MPYA YA ALBUM YA LIL WAYNE

Rapper kutokea kundi la Cash Money [YMCMB] maarufu kama Lil Wayne ameachia Art Work ya Cover ya album yake mpya inayoitwa ''I Am Not A Human Being II''.
Kazi hiyo ya ubunifu na utengenezaji mzima wa hiyo cover art imefanywa na kampuni anayoimiliki rapper Kanye West ambayo inaitwa Creative Content Company.
Lil Wayne anatarajia kuachia album yake hiyo ifikapo mwezi March mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...