Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Mwendesha Mashtaka mkuu wa Mahakama ya
Kimataifa(ICC) Bibi Fatou Bensouda ikulu jijini Dar es Salaam.Baadaye
Rais kikwete alifanya mazungumzo na Bibi Bensouda.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwendesha Mashtaka
mkuu wa Mahakama ya Kimataifa(ICC) Bibi Fatou Bensouda ikulu jijini Dar
es Salaam.Baadaye Rais kikwete alifanya mazungumzo na Bibi Bensouda.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika mazungumzo na Mwendesha Mashtaka mkuu wa Mahakama ya
Kimataifa(ICC) Bibi Fatou Bensouda ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment