Baada ya kuwaletea mashabiki wake kinywaji aina ya Ciroc Vodka
katika flavor tofauti tofauti, rapper Sean Comb AKA Diddy ameamua
kuachia kinywaji kipya kabisa cha kifahari kwa wale wapenzi wa kuishi
maisha ya high life… msanii huyu amewaletea brand new Tequila aliyoipa
jina la DeleonTequila.

Sean Comb kupitia mtandao wa Instagram amepost baadhi ya picha za
bidhaa hizo mpya za tequila. Pia msanii huyu alitumia mtadao huo
kuwaonyesha dunia Business Partner wake Larry Schwartz, mbaye
anashirikiana nae katika biashara hiyo mpya ya tequila!

Larry Schwartz & Sean Comb/Diddy
No comments:
Post a Comment