Kamanda
wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa
awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi
Moshi baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka
askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na
Nidhamu ya hali ya juu.
![]() |
Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi |

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi.
No comments:
Post a Comment