Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati
ya Uongozi kinachojumuisha wenyeviti wote wa Kamati za Bunge kilichokaa leo
kupanga Ratiba ya Mkutano wa Bunge wa Kumi na Nane katika Ofisi Ndogo ya
Bunge jijini Dar es Salaam leo. Mkutano wa Bunge wa Kumi na nane utaanza
jumanne ijayo tarehe 27 Januari na utakuwa ni wa wiki mbili.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Mhe.
Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati
kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge unaoanza jumanne
tarehe 27 Januari

Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati
kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge unaoanza jumanne tarehe
27 Januari
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati
ya Uongozi kinachojumuisha wenyeviti wote wa Kamati za Bunge kilichokaa leo
kupanga Ratiba ya Mkutano wa Bunge wa Kumi na Nane katika Ofisi Ndogo ya
Bunge jijini Dar es Salaam leo. Mkutano wa Bunge wa Kumi na nane utaanza
jumanne ijayo tarehe 27 Januari na utakuwa ni wa wiki mbili.
No comments:
Post a Comment