Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikifungua Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad(kushoto)ikulu jijjini Dar es Salaam leo.Kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Profesa Musa Assad akimkabidhidhi Ripoti yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es
Salaam leo. |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Profesa Musa Assad akizungumza.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuju wa Hesabu za Serikali mufa mfupi kabla ya mkuu wa taasisi hiyo Profesa
Musa Assad(Watatu kushoto) kuiwasilisha ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watano
Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment