Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt
Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe
27/03/2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya
ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.
Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.
Picha zote na Anitha Jonas - Dodoma.
No comments:
Post a Comment