airtel

airtel

.

.

Wednesday, January 6, 2016

WASANII NCHINI WAELEZA YA MOYONI


Katika Kikao cha Wanamuziki kinachoendelea leo jijini Dar, wasanii wametoa mapendekezo makuu matatu : (1) kutokuwa na imani na CMEA (2) kuvunjwa kwa bodi ya COSOTA kutokana na kutokuwa utaratibu mzuri wa kudhibiti na kusimamia mirabaha ya kazi zao na (3) Radio stations ziendelee kupiga nyimbo zao hadi watapotoa tamko.

Hivyo wameomba rais wa shirikisho (Ado Novemba) kupeleka maombi kwa Waziri mwenye dhamana ‘Mh. Nape Nnauye’ Waziri wa habari, michezo, sanaa na wasanii..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...