
Akon ambaye hatumii kilevi cha aina yoyote ile, alisema hayo wakati alipokuwa akihojiwa na mtandao wa TMZ na kusema kuwa atajaribu kumtafuta na kupata time ya kuongea nae kuhusu hilo kwani ni jambo linalomshangaza na kumuumiza sana,alipoulizwa kama anaweza kumsaidia Akon amekubali kuwa karibu nae na kumshauri kuacha bangi kabisa.
No comments:
Post a Comment