airtel

airtel

.

.

Saturday, January 12, 2013

BREAKING NEWS:KUNDI LA DESTINY'S CHILD KURUDI TENA NA LOVE SONGS


         Destininy's Child ni kundi ambalo lilikuwa linaunganisha wadada watatu ambao ni Beyonce, Kelly Rowland pamoja na Michelle Williams. Kundi hilo ambalo lilifanya vizuri sana kwa miaka ya nyuma ya 1997 na ku-make headline karibu dunia nzima na baadhi ya ngoma zake mfano kama Bills, Say My Name, Survivor na nyingine nyingi ila baadae mwaka 2004 kundi hilo lilivunjika.
        Sasa latest news kutoka kwa kundi hilo ni kuwa limerudi tena na sasa hivi lipo mbioni kutoa Album yake mpya kabisa itakayokwenda kwa jina la Love Songs ambayo inatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa mwezi huu Tarehe 29.
Nasta boy blogspt Team inawaahidi wadau wote wa blog hii kuwa mara nyimbo hiyo itapotoka tutaweza kuwawekea msikilize na kuitathimini je itafanya vyema kama nyimbo zao zilizopita.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...